VITUNGUU SAUMU NA FAIDA ZAKE
KITUNGUU SAUMU
Vitunguu saumu vina historia ndefu sana tangu enzi za mababu zetu kutumia kama tiba ya maradhi mbalimbali mwilini.
Pia kimetanjwa mara kadhaa katika vitabu vya dini kutumika kama tiba.
VIRUTUBISHO:
Madini: Phosphorus, Potassium, Magnesium, Zinc, Calcium, Chuma, Iodine, Sulfur, and Chlorine.
Vitamins: Vitamin A, B, C, pamoja na Vitamin K.
Pia kitunguu saumu kina virutubisho vingine muhimu kama vile, ALLICIN, ALLISATIN ambavyo husaidia matatizo mbalimbali mwilini kama vile kupambana na baadhi ya magonjwa.
FAIDA:
1. Huondoa sumu mwilini.
2. Husafisha tumbo
3. Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro)
4. Husafisha njia ya mkojo na kutibu U.T.I.
5. Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine mwilini.
6. Huzuia kuhara damu (Dysentery).
7. Huondoa Gesi tumboni.
8. Hutibu msokoto wa tumbo.
9. Hutibu Typhoid.
10. Huondoa mabaka mabaka kwenye ngozi.
11. Hutibu mafua na malaria.
12. Hutibu kifua kikuu (ukitumia kitunguu swaumu kesho yake unaweza kutokwa na makohozi mengi tu ambayo ni ishara kwamba kweli kinatibu kifua kikuu (TB)
13. Hutibu kipindupindu.
14. Hutibu upele.
15. Huvunjavunja mawe katika figo.
16. Hutibu mba kichwani.
17. Huupa nguvu ubongo.
18. Huzuia meno kung’ooka na kutuliza maumivu.
19. Huongeza SANA nguvu za kiume pia hutibu uanithi (kushindwa kusimama kabisa uume).
20. Hutibu maumivu ya kichwa.
21. Hutibu kizunguzungu.
22. Hutibu shinikizo la juu la damu.
23. Huzuia saratani/kansa.
24. Hutibu gout.
25. Huimarisha mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
26. Huongeza hamu ya kula.
27. Huzuia damu kuganda.
28. Husaidia kutibu kisukari.
29. Husaidia kutibu tatizo la kukosa usingizi.
30. Huongeza kinga ya mwili.
31. Inathibiti Pumu/Asthma.
Hizo ni baadhi ya faida za vitunguu saumu tuendelee kuwa pamoja tutafahamishana zaidi.
MATUMIZI.
Kitunguu saumu unaweza kukitumia kibichi au kwa kukipika, na kuchanganya kwenye mboga kiweke mwishoni karibia mboga inaiva kuepuka kuchemka sana kuharibu virutubisho vyake.
Ila inashauriwa sana kutumia vibichi.
Kwa siku tumia angalau punje zisizopungua kumi, vikatekate na kisu kisha meza na maji ua tumia maziwa.
TAHADHARI:
Vitunguu saumu vinasababisha harufu mbaya kinywani, inashauriwa kutumia na maziwa ili kupunguza hali hiyo.
Kutokana na uwezo wake wa kuzuia damu kutokuganda, usitumie kitunguu saumu kama una kidonda au kwa mtu aliyefanyiwa upasuaji.
Kichefuchefu, kutapika na kuharisha ni hali za kawaida unapoanza kutumia hudumu baada ya siku tatu.
Ukitumia na ukapata dalili zozote za Allergy (Mzio) kama vile vipele na miwasho acha kutumia.
SHARE waelimishe na wengine….
WhatsApp: 0743738286
Like page yetu kujifunza zaidi....
Prepared By DOZEEH BRAND

0 komentar:
Post a Comment